Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Thursday 18 April 2013

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WAZIRI MKUU WA UHOLANZI MARK RUTTE......

kwa hisani ya sufianimafoto.com
 
Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ofisi yake na kufanya naye mazungumzo  Jijini The Hague tarehe 16/04 .Rais Kikwete alikuwa katika ziara rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo. 



 8E9U6048Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mwishoni mwa ziara yake rasmi ya siku mbili nchini Uholanzi jana.Kulia nia Waziri Mkuu wa Uholanzi Mh.Mark Rutte.Picha na Freddy Maro
 
------------------------------------------------

No comments:

Post a Comment