Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa kike wa kwanza na wa pekee mpaka sasa wa Uingereza "Baroness Margaret Thatcher "ukiingia katika kanisa la "St,Pauls Catherdal" kwa ajili ya sala ya kumuombea . Thatcher alifariki wiki iliyopita 08/04/2013 kwa stroke akiwa na umri wa miaka 87.
Picha ya sala mazishi ndani ya St.Pauls Cathedral kwa juu...
Watoto wa marehemu Mark na Sarah Thatcher wakiangalia jeneza la mama yao likiondoka St.Pauls
Jeneza likiondoka kanisani. Hii picha la msingi ni huyo mwanamama mweusi hapo katikati miaka 10 iliyopita kushuhudia kitu kama hichi nchi hii ingekuwa ni ndoto tuu, sasa Waingereza wanakubali watu wa rangi nyeusi katika sehemu mbalimbali , hii ni hatua kubwa sana kwetu weusi.
Queen akiwapa wana familia pole baada ya sala
Wapenzi wa "Maggie" Iron lady walikuwepo ....
Na Ma-hater hawakukosekana vilevile....
Buriani Margaret Thatcher
-------------------------------------------
No comments:
Post a Comment