Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

About Twiga


Welcome to Twiga Voice

The animal Giraffe has long been known as our great Nation's symbol.
Do you know some interesting facts about Giraffes!?

 
  • ·         At 18ft tall, currently Giraffe is the Tallest Animal (Mammal) in the world .
  • ·         Each Giraffe has a unique "coat pattern" just like human being's hands, but they all look similar.
  • ·         For many years humans thought Giraffe’s do not have a voice box and therefore they are mute, however they actually make sound and communicate only when it is necessary...!!
 

This Blog is precisely about that and here's some interesting facts about our Blog

 
  • ·         We will stand tall and bring you news from our nation Tanzania
  • ·         We will share with you hot news from around the world
  • ·         Like Tanzania, our blog represents a diverse of people from different backgrounds, races, religion, gender and walks of life who share the same love of information.
  • ·         We will only post what's important to you and what matters to you.

You are welcome to learn , share, and grow with us.

Together lets make a Voice.....

 

Karibu Sauti ya Twiga

Twiga ni mnyama ambae anajulika kama Alama ya taifa letu pendwa Tanzania.
Je unajua baadhi ya vitu vya kushangaza kuhusiana na Twiga!?

 
  • Kwa wastani wa futi 18 za urefu, kwa sasa ndio mnyama mrefu kuliko wote duniani.
  • ·         Kila Twiga ana mabaka kwenye ngozi yake tofauti kabisa na haifanani na ngozi ya Twiga mwingine yeyote kama zilivyo alama za mistari mikononi mwa binadamu, lakini ukiwaangalia wote wanaonekana wapo sawa.
  • ·         Kwa miaka mingi tumekuwa tukidhani kuwa Twiga hawawasiliani kwa kutoa sauti, lakini hii si kweli, Twiga utoa sauti pale panapobidi tu.

Blogu hii ni hasa kama ilivyo maajabu haya ya Twiga na maazimio yetu ni :-

  • ·         Tutasimama imara na kukuletea habari motomoto na tofauti kutoka Taifa letu la Tanzania
  • ·         Tutakuletea habari motomoto kutoka sehemu mbalimbali za Ulimwenguni
  • ·         Kama ilivyo Tanzania, blogu hii inawakilisha watu wa kutoka sehemu tofauti, rangi tofaurt, dini tofauti, wake kwa waume  na wote wapendao habari, kila mmoja atapata habari inayomhusu na kupunguza kiu yake lakini zote ni habari.
  • ·         Tutakuletea habari ambazo zina umuhimu kwako na  zenye tija.

Karibu tujifunze wote, tujadiliane, na tupate ukomavu pamoja.

Kwa Pamoja Tuwe na Sauti........















No comments:

Post a Comment