Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa filamu nchini Jaji Khamisi (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu na mingine mingi Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya mungu. Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamisi (Kashi)
mahali pema pepponi Amini.
mahali pema pepponi Amini.
No comments:
Post a Comment