Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Wednesday, 5 June 2013

Absalom Kibanda, amerejea nchini kutoka Afrika Kusini alikokwenda kutibiwa

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, amerejea nchini kutoka Afrika Kusini alikokwenda kutibiwa.
 
Kibanda ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari 2006 Limited, aliwasili nchini jana saa 7.55 mchana, akitokea Hospitali ya Milpark nchini humo, ambako alilazwa kwa miezi mitatu kisha kukaa hotelini kwa muda, baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake, Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam, Machi 5, mwaka huu. 

No comments:

Post a Comment