MWENYEKITI WA CCM DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUPOKEA RASIMU YA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, Dkt Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha maalum ya CCM Kamati Kuu kilichokutana jana usiku mjini Dodoma kwa ajili ya kuipokea Rasimu ya Katiba mpya, iliyosomwa hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment