Oof! David de Gea na Andy Carroll wakionyeshana videvu
Robin van Persie akishangilia goli la Manchester la 2 alilofunga.
Uso wa huyu bwana unajieleza... akiondoka uwanjani kumpisha Giggs
Wakipambanisha vifua mpira hatuuoni.
MWISHO WA SIKU LICHA YA KUTOKA "DRAW" MANCHESTER UNITED INAONGOZA LIGI HIYO KWA POINT 81.
---------------------------------------------------
No comments:
Post a Comment