hivi ndivyo ilivyokuwa siku ya tukio ...
Mpaka sasa hivi zaidi ya masaa 24 yamepita polisi wa Boston, FBI na wengine wote bado hawajakama mtu yeyote kuhusiana na mlipuko katika Mji wa Boston siku ya Marathon, hii inashangaza sana mana Wamarekani huwa wako haraka kupata wahalifu wa haya mambo hili sijui ni vipi.
No comments:
Post a Comment