Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Tuesday 9 April 2013

UHURU KENYATTA AAPISHWA KAMA RAIS MPYA WA KENYA .....



Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na Naibu wake William Ruto.

Rais mpya wa awamu ya nne nchini Kenya,Mh Uhuru Kenyatta akiwapungia maelfu ya watu waliofurika kushuhudia kuapishwa kwake, mapema leo wakati akiingia kwenye sherehe iliyofanyika  uwanja wa Kasarani,jijini Nairobi . Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Jakaya Mrisho Kikwete, alihudhuria sherehe hizo na MaRais wengine kutoka Nchi mbalimbali za Afrika, pamoja na Mabalozi na watu wengine mashuhuri mbalimbali na wananchi wa Kenya.

Rais Uhuru Kenyatta akila kiapo
Rais mpya wa awamu ya nne nchini Kenya,Mh Uhuru Kenyatta akisoma hotuba yake mbele ya maelfu ya watu waliofika kushuhudia kuapishwa kwake, mapema leo kwenye sherehe iliyofanyika ndani ya uwanja wa Kasarani,
MOYA YA MAMBO ALIYOAHIDI KATIKA HOTUBA HIYO NI LAPTOP KWA KILA MWANAFUNZI AANZAYE SHULE MWAKANI KENYA
 
Asubuhi Njema Kenya.
 
...................................................................................
 
 

No comments:

Post a Comment