Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Monday 15 April 2013

TASWIRA ZA RAIS KIKWETE ALIPOKUWA MGENI RASMI KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA CHUO CHA KIISLAMU CHA AL-HARAMAIN


 
kikwete 333 
 
 



meng
 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain kwenye  harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini
Dar es salaam.
 
 
 
kikwete 6
 
 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika harambee ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain iliyofanyika  hoteli ya Serena iliyopo jiji la  Dar es Salaam
 
 
 
 kikwete 5
 
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya Wageni  baada ya kuwa mgeni rasmi katika harambee ya kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain  Jumamosi usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 
 
 PICHA ZOTE NA IKULU

No comments:

Post a Comment