LEO NI SIKU YA MAJI DUNIANI 2013 .
KWA KIFUPI :
HAKUNA MAISHA BILA YA MAJI
DUNIA YETU INAKABILIWA NA UHABA WA MAJI KILA KUKICHA
UKAME UNAZIDI , MAJI SAFI YANAPUNGUA .
TUNAKOELEKEA TUTAPIGANA VITA VYA KUGOMBANIA ARDHI YENYE RUTUBA. TUMIA MAJI KWA USTAARABU . OKOA DUNIA YETU.
TAFAKARI ............
No comments:
Post a Comment