Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Friday, 22 March 2013

KUTANA NA MWANAMKE TAJIRI KULIKO WOTE AFRICA ............

 
NI ISABEL DOS SANTOS..........
Billionea wa Kwanza Nchini Angola.
Mtoto Mkubwa wa aliyekuwa Rais wa muda mrefu wa Angola Eduardo Dos Santos.
Anamiliki hisa katika makampuni mengi nchini Angola na Portugal.
Akiwa na thamani ya mali za Dola za Kimarekani Billioni Mbili $2Bill, Isabel anashika nafasi ya kuwa Billionea wa Kwanza nchini kwake , na mwanamke tajiri kuliko wote Africa. Nusu ya mali yake hii  yaani $1Bill, amepata kupitia  asilimia 25% za hisa anazomiliki kwenye moja ya kampuni mbili za simu nchini Angola, Unitel.
 
MUNGU IBARIKI AFRICA .
 
 

No comments:

Post a Comment