Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Tuesday 2 April 2013

WAZAZI WAHUKUMIWA KUUA WATOTO WAO SITA KWA MOTO -UINGEREZA

Duwayne Philpott, 13, Jade Philpott, 10, and brothers John, nine, Jack, seven, Jesse, six, and Jayden, five


Pichani ni Watoto Sita waliouliwa na Wazazi wao katika Mji wa Debry uliopo Nchini Uingereza. kwa bahati mbaya baada ya kuamua kuchoma nyumba ili wamsingizie aliekuwa mke mwingine wa baba yao. Wazazi hao walitegemea wangeweza kuwatoa watoto wao ndani ya nyumba kabla moto haujawa mkubwa lakini walishindwa hatimae walisababisha vifo vya watoto wao wote........
Dwayne, John, Jaden, Jade, Jack & Jesse (wote chini ya miaka 13)

Derby house fire Mick Philpott
Mick Philpott and wife Mairead broke down in front of the media after setting a fire at their home which claimed the lives of six of their children. Photograph: Rui Vieira/PA

Mahakama imewakuta wazazi hao (Mick & Maaired Philpott pichani ) na hatia ya kuua watoto zao baada ya kuanzisha moto huo.

--------------------------------------------------------------------------

No comments:

Post a Comment