Cardiff City ya Wales wameingia katika "Premier League " baada ya kutoana 0-0 na timu ya Charlton ya London.
Hii ina maana ya kwamba Cardif City FC itaungana na timu ya Swansea City kuiwakilisha Wales kwenye Premier League season ijayo.
Kurudi kwa Cardiff City kwenye kundi la Premier League kumechukua miaka 50 kwani mara ya mwisho wachezee kundi hilo ilikuwa ni mwaka 1962.
Kurudi kwa Cardiff City kwenye kundi la Premier League kumechukua miaka 50 kwani mara ya mwisho wachezee kundi hilo ilikuwa ni mwaka 1962.
Twigavoice tunasema Well done "Bluebirds" . Tunawatakia kila la kheri.
-----------------------------------------------------
No comments:
Post a Comment