Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Tuesday 2 April 2013

JUMLA YA MAITI 36 ZIMEPATIKANI BAADA YA KAZI YA KUONDOA KIFUSI KUMALIZIKA KATIKA GHOROFA LILILOANGUKA.

Wachimbaji wakifikia hatua ya mwisho kabisa ambapo tayari wamefikia ulipokuwa umeanzia msingi uliokuwa umebeba ghorofa 16, na kazi hiyo ilikuwa ikifanywa na askari wa JWTZ na kumkabidhi mkuu wa mkoa wa Dar leo na kutoa idadi kamili ya maiti waliopatikana kufikia 36.
Zoezi la kuondoa kifusi katika jengo la ghorofa 16, lililoporomoka ikiwa
katika hatua za mwisho leo, ambapo Askari wa JWTZ waliokuwa
wakisimamia kazi hiyo, wameagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar leo na
kutolewa idadi kamili ya Maiti waliopatikana kuwa imefikia 36.
 
---------- TUNAOMBA MWENYEZI MUNGU AZILAZE PEMA ROHO ZA MAREHEMU WOTE ,   NA KUWAPA SUBIRA NDUGU NA JAMAA ZAO ---------
                                                      AMEEN.

No comments:

Post a Comment