Habari ndio hiyo kwa ufupi
MAN CITY yaitoa CHELSEA kwenye Nusu Fainali za FA CUP zilizofanyika leo Uwanja wa Wembley ,London ,Uingereza, kwa kuipiga Mabao 2-1.
Mabao ya Man City yalifungwa na Samir Nasri (Dakika ya 35 ) na Sergio Aguero (dakika ya 47). Wakati bao la kufutia machozi la Chelsea lilifungwa na Demba Ba (katika dakika ya 66).
Twiga Voice Tunasema POLENI MASHABIKI WA "STAMFORD BRIDGE", popote pale mliko Ulimwenguni .
Man City sasa itapambana na timu ya Wigan Athletics katika fainali hizo mwezi ujao tarehe 11 Mei.
Man City fans na player wakishangilia ................
.......................................................................................
No comments:
Post a Comment