Breaking News, Home News, international News, Comprehensive, up-to-date News coverage, aggregated from sources all over the world...

Monday 8 April 2013

BREAKING NEWS......MARGARETH THATCHER A.K.A. "IRON LADY " HATUNAE TENA .......


Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza Mwanamke Uingereza Baroness Margareth Thatcher amefariki dunia leo mchana akiwa na umri wa Miaka 87.

Margareth Thatcher ambae alipewa jina la utani la "Iron Lady" kutokana na kuwa Mwanamama shupavu na aliejijengea jina kama kiongozi mmoja Imara sana Duniani atakumbukwa sana si Uingereza tuu ambako alifanya mageuzi makubwa sana ya kisiasa na kijamii bali Ulimwenguni kote kwa kuirudisha Uingereza katika ramani ya Nchi znye nguvu Ulimwenguni na amekuwa ndio mmoja wa Chimbuko la akina mama Viongozi Mashuhuri Ulimwenguni.



Kwa habari hii zaid soma hapo chini  kwenye Read more .

Read more

Margaret Thatcher dies of stroke aged 87 - Telegraph
Baroness Thatcher, Britain's greatest post-war prime minister, has died at the age of 87 after suffering a stroke, her family has announced.


................................RIP BARONESS MARGARET THATCHER......................

No comments:

Post a Comment